@talkboutitwithconradley: Usimchukulie kawaida kabisa anaye ithamini amani yako. Share hii video naye, mwambie..nathamini unachokifanya kwenye maisha yangu. #Love #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #relationships
Sisi wadada wembamba kusema kuachana ni kawaida lakini si kwamba tunaacha 🤣🤣
2026-10-05 08:45:24
11
Miss merry :
Wangu agusi cm yangu ataiite apo ashik
2026-10-02 18:37:54
3
mwombeki yanga,arsenalfc fans :
kweli mkuu mi kila mda nakagua simu ya mama mtoto wangu ni wivu atari maana nimeanza nae mahusiano akiwa na miaka 12 asaivi nimezaa nae na kuishi nae 🥰🥰
2026-10-02 07:11:45
2
Marry :
tatizo umeifunga
2026-10-01 22:49:21
6
D🤍 :
Kwann umetoa saved jamn mm nlitak iende status saiz😂😂
2026-09-10 00:25:52
1
Teddyk :
huyu wangu kila siku tuachane[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 10:37:19
2
Finnah B❤️ :
Me babe wangu ananiambia anakua na amani akiwa na mimi lakn akiwa na mimi Yupo busy na video Sa instagram 😂😂
2026-10-02 11:59:31
2
Aline Habishuti :
mimi mumewangu nimuongo sanaa😏😏
2026-10-03 18:48:08
0
Preciousyas#75 :
Na yule mkigombana anakwambia anakufukuza je ?
2026-09-30 10:32:33
1
armalinprecious :
unakuta mtu anakagua simu yako na kuuliza huyo nani unaongea nae nyiee jaman siwapendi watu hivi
2026-09-07 11:04:49
7
Reyna💫🇹🇿 :
Mm bado sijaelewa sijui yaan nikwazana na mume wangu nataman tu kukaa mbali nae huwa naumia sana ata akinikwaza kidg.... lkn nikiwa mbali nae kdg tu nammiss vby sana
2026-09-08 17:00:52
2
Chalamila store :
huyu wangu tukigombana nabrokiwa shwaaaaa
2026-10-10 16:12:29
0
Karenah❤️❤️.. :
Ya pili ni nn cjaelew ataa😒😂
2026-10-02 21:21:48
1
Olyvia✝️🌚🖤🥷 :
ni mume wa mtu saasa...😳
2026-10-01 14:56:35
4
Joyce :
Well saidttt!
2026-10-05 07:21:54
1
amaynah23 :
Nilikua namwanaume anakagua cm ana kasirika kama mjamzito….mkigombana anasema muacheni na anakaa kimya
2026-10-19 15:49:18
2
DARK ROCKY :
mim ninamtyu anadai ananipenda ila Sion ata matendo nashindwa kuelewa kwa kweli
2026-10-01 16:15:32
1
user646 madenge :
ikipiga tu namba mpya na aseme nimekosea namba lain inatafunwa
2026-10-03 13:20:37
1
🫧💫 :
Apooo kwenyeee kukaguaaa simuuuu apooo
2026-10-21 09:57:16
1
Rodger man :
brooh mtu unamuamin hushiki cm but the moment unakuja kuishika it's time you realize alot of under ground things going on
2026-09-08 06:39:01
1
Baby Mom :
Asante kwakunielewsha maana nilikuwa nawaza mengine
2026-09-07 04:11:22
1
Jacklin mnyama :
Vip kama anasema ondoka??
2026-09-19 17:45:55
1
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.