mm mpenzi nikiingia hivi ninakua funzo kwa wengine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 blood group O wenzangu hiiiiiiiii
2026-10-06 09:07:27
15
Bove Grace :
kweli kabisa kk anguu tumeteseka sana kwamapenzi
2026-10-05 04:05:42
16
s Pasco :
Mapenzi Yana uma jmn 😭😭 acheni tu, hasa pale mtu anapokuonyesha hadharani na unaamua kukaa kimya anakuuliza mbona haupo sawa, unajibu nipo sawa ila machozi yanatiririka unaangalia pembeni unayafuta polepole daaah .Ujue tu mke au mme mwema mtu hupewa na Mungu.
2026-10-07 15:26:28
5
Arafa Mbata :
maneno mazuri yenee Hekima nabusala upo saih
2026-10-05 12:41:30
5
fatty💞 :
Duuuuuuh Ina uma
2026-10-05 06:17:48
3
jofreydeus8 :
duuuuuh Ina uma sn
2026-10-05 15:06:54
4
miss -Helen 🇰🇪 :
sijawahi pona
2026-10-07 05:22:11
3
Henry k :
naumia
2026-10-07 05:17:58
4
immaculé vema :
iko kweli eeemungu uwaazibu wale wanao saliti wanao wapenda
2026-10-06 16:40:59
4
@Erant@z :
Asante story nzur sna
2026-10-05 04:03:33
3
Neylah actress💃 :
ivi kuna mapenzi tofauti ya baba na mama kwangu?? cdhani