@alfatah.tv: Mume akirudi epua chungu jikoni kwanza ukatafute radhi za Bwana Mama.

AL FATAH TV ONLINE
AL FATAH TV ONLINE
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 14:12:37 GMT
144179
4725
131
1887

Music

Download

Comments

haniumotors
HaniuMotors :
Mimi kila nikirudi kalala
2026-10-12 18:02:24
19
yussufhamad800
yussufhamad800 :
Hayo ni maneno tu munaongea huwa hamufanyi hivyo
2026-10-13 07:47:56
17
user4571113519830
user4571113519830 :
sio wake zetu mama unagonga mlango tu anamuita mtoto nusu saa nzima.....eeh kumbe mtoto hayupo ndio anakuja fungua mlango halafu anarudi alipokuwepo hakupokei wala hakuulizi umeleta nini?
2026-10-13 07:29:47
7
haroub.juma0
Haroub Juma :
mama wewe unaongeya ukweli ilasasa hawapotena wanawake kamawewe mamasisi wanaume sasa hatapatihayo hongera mama
2026-10-12 17:57:42
10
suleshcosmetics
Sulesh :
mmmh Sio Aya Madude
2026-10-12 16:58:35
5
khalidboyka219
khalidboyka :
bora akuambie subiri,Huwa wanakataa kabisa bibi tuteteeee😂😂
2026-10-15 12:14:43
3
zulekhat02
zulekhat :
ayiii nachoka mie hao unaowazungumzia wako wapi mamangu😳labda niseme cjakutana nae,
2026-10-12 15:51:05
5
user69416099815270
sofi :
kwa moto wetu wagesi si tutaunguza nuymba
2026-10-12 15:41:42
3
datuu481
da-Tuu :
si mpak anikute,niko kazini napambana
2026-10-13 07:17:27
2
rajabu820
allynasri :
wakwangu ata mfuko hapokei
2026-10-13 11:59:37
3
the_magnifical
The_Magnifical :
hebu kama bado wapo hao naomba nielekeze
2026-10-13 04:56:21
4
user4244462223792
OTHIVER.. Till I Die :
mm nikirud yupo bzy na cm na hana habar kabisa yan
2026-10-13 11:20:14
3
sweet._lorah
sweet _lorah :
nikimaliza kwaiyo narudi tena jikoni🤣🤣🤣mie nalalaga usingizi mzito🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 19:25:08
2
user63774968252332
user63774968252332 :
baada ya kukua ndio naelewa ila zamani nilikuwa naona mume akirudi mkewe anaacha yote anaingia ndani atakaa weee baada ya muda atatoka nje ni nikasema nijaribu mwaka jana sahizi nna mtoto wa miezi minne japo kakake ana 3yo... Alhamdulillah 🤲
2026-10-13 14:51:54
1
chituyachitu
Chituya Chitu :
🙏 ASANTE KWA KUTUSEMEA🙏
2026-10-12 19:19:26
2
user2781094782170
Luoga Jr :
wachache Sana
2026-10-13 03:04:16
1
muna.bhai573
Muna Bhai :
Mola Akupe Afya Na Umri Ni Hakika Unenayo 💯💯💯 Hakuna Kitu Ktk Maisha Kama Respect Asante
2026-10-13 06:22:47
1
zulekhat02
zulekhat :
nahitaji kuongea nawe mama
2026-10-13 05:46:19
5
user9040412228775
kombo :
Upo sawa kabisaa
2026-10-12 14:52:42
1
mkomonistifact
mkomonistifact :
nakuelewa
2026-10-14 10:44:35
0
applelyson
Apple Lyson :
kabisa
2026-10-26 11:15:54
0
azanability
Consciius :
Sahh
2026-10-15 11:36:23
0
user6252339936028
user6252339936028 :
true 🤣
2026-10-14 19:21:34
0
ramaally
Ramaally :
2026-10-16 17:19:18
0
alimmanga6
alimmanga6 :
wazo
2026-10-12 18:46:12
0
To see more videos from user @alfatah.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About