@living_magic_store: Masingle mother wengi wanafanya watoto wao wawe mashoga bila wao kujua kama wanawaharibu,na hapa ni mambo 10 unayotakiwa kumfundisha mtoto wako ili asiwe shoga #ticktocktanzania🇹🇿 #storytime #storytelling #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok🇰🇪

ZANZIBAR COSMETICS
ZANZIBAR COSMETICS
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 17:34:37 GMT
44030
2401
158
225

Music

Download

Comments

hyma544
Mia :
Ongea na wanawake wote wenye watoto wa kiume sio single mothers tuu kuna watoto wanalelewa na both parents na still wameleft mazingira wanayokutana nayo wakiwa mbali na wazazi yanachangiaa
2026-10-14 05:13:14
74
snlaundry1
L23 :
Vipi kuhusu wanaume wanaoharibu hawa watoto 😭
2026-10-13 19:44:40
16
favourednardal
nado🦋 :
naomba Mtu anirudishe hapa please
2026-10-13 17:52:00
73
loveberitah
Loveberitah :
Umeongea point nyingi za msingi kuhusu malezi, ila hujasema point ya wanaume watu wazima wanao lawiti watoto wa kiume na kuwaharibu. Hiyo ni point kubwa sana umeaicha.
2026-10-13 18:42:51
20
nashkimsavage
NASRA....62🦋⚽️ :
Mm wangu namlea kama nipo nae vitani tena kuna mda tamamani apate dem aichape 😂😂(jokes) nyie tuombeeniiiii 🥺
2026-10-13 21:23:41
13
tumainimwambawetu
tumainimwambawetu :
mm nawalea watoto wangu wa kiume kama wapo jeshini haf kuna mtu anasema nawatesa kisa siwapi pesa bila kufanya kazi
2026-10-13 19:10:09
8
pearl.rodg
Pearl Rodg :
point nzr kaka lkn ni kwa wote sio single mother tu hata weny wazz wote inawahusu🥰
2026-10-14 05:09:55
8
naij259
Nai&j❤️🔐 :
Ee mwenyenzi mungu nilindie mwanangu wa kiume niongoze kwenye malezi pia 🙏
2026-10-13 19:32:37
6
officialnitto7
officialnitto :
mnirudishe hapa tafadhar 🥺🥺
2026-10-13 19:59:53
4
lindahevarest1
Lindah :
Mtoto anaweza kua ma wazazi wote na bado akaharibika ni kuwaombea tu na kuwalea ipasavyo
2026-10-14 12:19:59
4
aneth.msuya
Merry Milton🌸 :
Tusaidie
2026-10-14 13:08:34
2
user3782533765198
mama juja :
wamama wenzangu naomba tupaze maombi kwa mungu kiufupi sasa ivi dunia imefika pabaya muhim kuomba dua na kuongea na watoto 🤲😭
2026-10-14 08:09:23
3
lillian.bray
Lillian Bray🇹🇿 :
asante kutukumbush
2026-10-14 17:26:35
1
husnahassan638
MAMAB :
mungu atusaidie tu hasa uko mashulen jmn mm naogopa namuomba sn mungu anilinidie kijana wangu
2026-10-15 19:31:20
2
pelissa..mokiwa
pelissa :
yani umeongea point kubwa sana
2026-10-16 12:52:31
1
zakiahassani975
zakiahassani975 :
Asante kaka
2026-10-16 12:36:36
1
winfrida.mpale
Frida Martin :
Tunashukuru san kak tumekuelewa pia Mungu akubariki
2026-10-18 06:22:26
2
mariarange377
Maria Range :
Mimi mwenyew ninao wawili mmoj mchanga huyu wa miaka 4 namwambia akaze
2026-10-15 08:38:49
1
tichakimbwembwe
Raiyyanah M. Kimbwembwe :
Ulichoongea ni kweli kabisa kulea watoto bila baba ni mtihani sana. Mungu atulindie watoto wetu
2026-10-13 18:36:10
9
zahra.saiddy
🦋Dazahra🦋 :
nimekuelewa saana kaka angu wazaz tunaolea watt wakiume tunaelewa saana ila kunavitu nimejifunza 🙏
2026-10-13 20:09:23
3
bites55
🥰hellow@its me💝 :
sasa kama mtu amekata mtoto kwanzia mimba sasa uyo baba wakulea tutatoa wap acha tufate ushaur
2026-10-13 18:14:39
4
ashif.sm
Ester nyari🤗 :
nilivokuwa sina mtoto video kama izi nilikuwa napita sasa nimpata mtoto wa kiume acha nisikilize
2026-10-14 05:04:44
2
user1212762074768
maggiean❤️ :
sio mtoto wa kiume tu watoto wote wanahitaji malezi ya baba na mama!!
2026-10-14 01:35:15
3
sintiadumba2
da sili :
tunapitia mengi jamani mungu atusaidie Sana sasa
2026-10-13 18:38:26
4
mama.g5744
MAMA G :
Asante sana kimgne tuwalee kwenye ofu ya Mungu
2026-10-13 17:45:11
4
To see more videos from user @living_magic_store, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About