@m..t..e..s:

🇨🇩M🇨🇩T🇨🇩E🇨🇩S🇨🇩
🇨🇩M🇨🇩T🇨🇩E🇨🇩S🇨🇩
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 14 October 2026 05:49:54 GMT
53970
2415
191
856

Music

Download

Comments

mwalimuwawasusitanzania
MWALIMU WAWASUSITANZANIA :
tatizo Africa atujielewi AKUNA mwenyeji KATIKA inchi usika. watu wote walitoka SEHEMU tofauti tofauti. ndo pakaundwainchi Africa tujitambuwe
2026-10-15 13:53:47
4
lweyamalembe
Wilson Ajay🇨🇩 :
bembe to the world 🌎🌎 wabembe tujuwane
2026-10-14 17:18:57
41
nema._.42
nema :
unaongeya kweli tunaanza. kufunguka macho sasa sisi wote niwamoja tukilijua ilo tunafika mbali africa yote tupendane sote tutowe sumu tunizowekwa na wazungu tupendane sisi kwasisi
2026-10-14 18:23:57
10
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
Ni uongo Nyerere aliekwa na wakolon
2026-10-15 03:07:27
4
manu_bei25
manu beî :
Abdul Sykes mwenyewe alikuwa Mzulu wa Sauzi
2026-10-15 01:32:03
4
mussalove2
Mussss007 :
Nyerere mwenyewe Mrundi...
2026-10-19 19:04:44
4
rahma_omary1
BEI ZA VIWANDA :
semeni jamnii nimenyimwaa pasipot kisaaa kusemaa mimi ni mmanyemaa[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying] imeniumaaa sanaaa haki naambiwaa wakat hataa congo sipajui mimi
2026-10-15 03:56:36
9
evox37_
evox37 :
sikubaliani nae kabisa kichoendelea leo Congo "goma" ni matokeo ya kuwa na mipaka wazi nakukaribisha kila aina ya watu wasiokuwa na nia nzuri na nchi yetu ambao ni wanatanzania wa jina tu ila royalty ipo nchi wanayotokea watu kama kina kagame na wenzake wapo bize kongo wanachuma rasilimali na kujenga nchi zao na wanaitolea macho sana ardhi yetu.
2026-10-15 14:46:35
4
tunakopesha
peace :
anatetea wazamiaji
2026-10-14 17:45:52
4
rajab.r15
Rajab :
Wa Burundi walisaidia saana Tanzania. Tanzania pia ilisaidia Burundi 🇧🇮! Ndio maana Tanzania 🇹🇿 ni nyumba ya 2 kwa sisi wa Burundi 🇧🇮
2026-10-18 04:12:48
4
mnunguri3
mnung'uri :
Uhamiaji wajibu hoja za huyu jamaa kama si kweli
2026-10-15 06:48:56
6
kansela44
Kansela55 :
me japo sina elimu sioni maana ya muafrika kutengwa ndani ya afrika
2026-10-14 22:18:35
8
user3518655708279
user3518655708279 :
wahambiye mzee.
2026-10-14 17:21:15
5
desirenejo
Nejo désire mfalme :
waambie aho maana tuko kama watumw tz 🇹🇿
2026-10-15 19:01:03
4
qally89
QALLY BREEZY :
hizi mambo zinachosha kinoma sana
2026-10-16 15:14:43
2
user4269194250810
Erick :
pamoja sana baba
2026-10-14 16:45:56
4
twellah0
twellah0 :
africa is one
2026-10-16 11:21:01
1
278799moses
moses john :
uhuru wa nchi ndio uraia?
2026-10-15 05:36:19
2
saddhbrand1
sadd'h..01🫵 :
nyerere alikataa UDINI na ukabila
2026-10-15 05:55:40
0
junker243
Junker NGYUCI :
Unahitaji kusapotiwa
2026-10-15 05:55:20
2
ilungammakonde
🇨🇩 Mmakonde 47 :
Duuu tunashukuru sana Baba
2026-10-14 17:02:29
1
salumdicap
salumdicap :
mini ni m Tanzania nakuonga mkono, baba wa taifa mwalim nyerere Ali sema dhambi ya ubaguzi sio zuri mkishaaza Anza tu kusema, hawa, sio wezetu mkiwamaliza hao, mtageukiana wenyewe
2026-10-14 19:43:06
3
charlesmsakila458
Charles Msakila :
Ndiyo maana Jenerali ulimwengu anatusumbua Mpaka leo
2026-10-15 21:15:54
2
cncharlescharles
Cn Charles Charles :
Sijawahi kuona mwana ccm kama huyu
2026-10-16 14:01:20
2
debbymwaka
Dexy Tchite 🇨🇩 :
Madeline kastko namjua tulikua na sali kanisa mmoja zanzibar
2026-10-14 21:04:23
3
To see more videos from user @m..t..e..s, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About