@islamicswahilinet: “HATA WALE WALIO KARIBU NA WEWE WAKO KARIBU NA WEWE KWA MASLAHI YAKO” Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Friday 16 October 2026 18:54:02 GMT
Music
Download
Comments
Ukhuty Minah :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE SWALA WAISLAM
2026-10-17 05:46:02
38
Son@7👳🥀💫 :
Ya Allah atujalie mwishwo mwema inshaallah 🤲
2026-10-17 05:41:25
12
aminah :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-10-18 07:28:21
5
Msagala📢 :
allah aqbar🤲
2026-10-16 19:52:29
10
MT. bin ismaël :
Ma shallah
2026-10-16 20:35:29
15
nady momo :
mashallaah
2026-10-17 01:57:01
7
mamushkah :
SubbuhhanaAllah ni kadar ya Allah kumpata.atakae.kulilia kwa uzito wa mauti na kabuli wengi tunafikilia yke mazuri ambayo hawatapata.tena.ila Oxgeny yangu imenifrahisha ndivyo nilivyo msev mume wangu ktk simu.tuombe Allah atupe mwisho mwema na watakao tuhurumia siku y2 ya umauti🤲
2026-10-17 14:52:10
6
Bwakx :
Allahu Akbar
2026-10-16 20:53:59
8
S N I P E R🔞🚦🚁 :
subhan Allah
2026-10-17 04:23:59
6
omary Funny :
Allah akabqry tuombeane duwa
2026-10-16 19:54:32
6
Amida Ally :
Allah Akbar
2026-10-16 22:05:59
9
Bin Ali :
subhanallah
2026-10-17 04:52:17
7
Abubakari mvurya :
subhanallah allahu akbar.
2026-10-17 08:25:38
3
Amuri Comercent :
amina
2026-10-17 16:14:03
1
hbc :
mashallah
2026-10-16 21:17:23
5
YOUNG_XWELLAH :
Allahu Akbar
2026-10-17 05:30:49
6
Masoud :
Allah Akbar
2026-10-17 05:06:53
3
Hafsa Ally :
subhanallah
2026-10-17 05:42:24
3
saidi salehe shaban :
mashaallah
2026-10-18 09:52:18
1
🌿⚡ZEUS GAMER ⚡🌿 :
ya Allah ni jalie mwisho mwema
2026-10-17 14:26:32
3
kassimmwaduduali :
Allah nijalie mwisho mwema
2026-10-17 09:40:17
3
manshila :
Allah hatupe mwisho mwema🙏
2026-10-17 08:49:32
3
@Double em :
Subhanallah
2026-10-17 10:48:29
3
Bless_makamba :
Allah Akbar
2026-10-17 17:19:14
2
ABAS🙏💪 :
SubhanaAllah
2026-10-17 18:22:26
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.