@kisawa44:

mdogo variam
mdogo variam
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 08:06:35 GMT
863366
55973
4922
7796

Music

Download

Comments

ceciliahalinga
Cesy💓 :
Mimi na nyumba yangu nitamtumikia bwana 🤣🤣🤣🤣
2026-10-20 07:02:48
1560
mwanasha23ham
Amina charo :
ninakuja na family yangu [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-26 12:29:26
0
alexedwald
Alex Edwald :
wanao sema tutaenda kanisani tujuane ♥️♥️♥️♥️♥️hapa
2026-10-19 11:05:20
1982
mamta.mtoto
zaitun🥰🫜🙏 :
mchungaji samahani waislamu tunaluhusiwa kuja maana Mungu ni mmoja
2026-10-19 16:02:30
259
user8818279161632
Denisia Kabelinde :
A weeeeeeeeeeeeee
2026-10-26 17:33:45
0
salomebuganda
Salome Buganda :
mhh [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-25 13:55:26
0
kajuniorjkm2583186842524
Beibyboy kienyeji :
Mim na kijiji changu chote tutamtumikia bwana
2026-10-20 16:00:00
394
user918044682193mkuu
mkuu brian :
pin location
2026-10-26 12:10:27
0
user4725857946210
Darling :
please save me a seat. Am on my way.Am coming with my entire family and village
2026-10-27 06:05:50
1
sofiadaudi121
Sofia Daudi :
mambo mengi nitaendele nayo nikirud acha niwah ibada
2026-10-19 08:53:27
397
egliakelvin
Mrs E :
Apo lazima nije ata kuoga nitaoga nikirudi tu🏃‍➡️
2026-10-19 10:01:03
181
reyrash1
Rehema💋❤️‍🩹 :
mchungaji nakuja niwekee nafas yangu
2026-10-19 15:23:09
117
blue_face0011
user91076354670 :
Location please
2026-10-25 11:58:18
1
mamerithalutonja
Mameritha :
Niko hapa getin fungua🤣🤣🤣
2026-10-21 13:22:43
46
atanaz113
atanasi :
niachien siti zangu 5 nin familia kubwa
2026-10-19 18:13:52
13
saminiwambura5
Samini wambura :
Ghai Leo mi ndo wa kwanza kwenda kanisani
2026-10-20 19:52:33
9
nyaboo77
nyaboo Daugter of the Lord :
mi najua mbinguni hakuna soda na mikate ,hii church sio ya ukweli,mniambie sku mnapeana peza nikujie
2026-10-21 07:35:20
8
user8016329693184
Cliffo Mzing :
kanisa ni kama hizi sasa
2026-10-21 14:49:58
7
simba0742
SIMBA :
lazima tuokoke ss ata mi siko busy nitaenda🤣🤣🤣🤣😊😊
2026-10-22 10:06:47
5
gmsangi4
G msangi :
location plz
2026-10-21 10:00:21
7
hadyzaru
hady zaru🥰 :
mtoto wangu wa kwanza nitamleta kwa nyumba ya bwana amtumikie😂😂
2026-10-21 17:54:49
6
user806677542717
miriam :
Hii kanisa iko wapi😁
2026-10-21 07:59:10
5
mamu.tz77
mamu tz :
mtu hataishi kwa mkate tuuu bali kwa neno🥰🥰
2026-10-20 10:13:50
102
sadati.adam
sadati Adam :
nakuja nampenda mungu sana
2026-10-19 09:48:41
154
user4761993538143
Recho💝🥀🥀 :
mchungaji nakuja nilipanga kuja toka juzi lakn mambo yalibana
2026-10-19 10:49:14
123
To see more videos from user @kisawa44, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About