mi nishawah tumiwa sms na namba ya mumewangu hovohivo tofauti ilikuja imeanza na nukta 07 na kuendelea namba zote za mumewangu na alitaka nimuekee milioni 2 katika bado nashangaa mbona sijasev et ananitumia sms etu tuma haraka Niko kwenye kikao ,nikawa najiuliza huyu na vikao wapi na wapi bado na shangaa ikaingia sms ananitaja jinalangu tuma bc na mi siitwagi hivo na wakat huo nampigia mumewangu kwa sm nyingine inakata kumbe walizui sim yake asipige Wala kupokea sm nashukur sikutapeliwa
2026-10-21 05:34:30
30
Sarah Mgimba :
hatakama mtu unamjua akituma sms kwa namba yako
kabisa nilazima upigi simu hatakama ingikuja kwa Jina usitume hela mbaka uwasiliane na mhusika
huo utapele upo sana
hatakama ni namba ya mama yako ametuma sms lazima upige kabla ya kutuma hela
2026-10-26 08:47:29
2
Rashian :
angalia vzur, hiyo namba uwenda kunanamba ya simu ya kawaida arafu namba yako imetumika kama jina la mtu, yaan namba arafu jina ni namba pia ambayo ndo hiyo yako
2026-10-20 20:21:33
13
mangi mkuda :
na ninyi mnapopost vitu kama hivi mruhusu tuweze ku download
2026-10-26 07:17:57
2
J Msumi JM :
wao wanajua kufungia sim za mkopo tyu ikipita ata sekunde inafungwa lkn kweny kuzibit wizi hawawez ata mm nishapigwa sitaki ata kuadisia
2026-10-20 18:00:18
10
jmarandu :
hapo kilichofqnyikaa wamesasve namba yao kwenyee cm. ya. dada ila kwenye jina wameweka namba yako . kagua vizurii hiyo namba
2026-10-21 11:37:12
8
vijite :
atuambie ni mtandao Gani huo tuanze kuukimbia na kua na tahadhari nao
2026-10-21 05:03:53
5
janeymoshi :
huyo bint achunguze watuwake wa karibu wamemchezea mchezo badala yakusevu jinalako yeye kasevu number yako kama jina kwenye cm ya bint
2026-10-21 18:39:12
7
lux_em'jay :
kwanza hadi hela zenyewe kwene Mitandao ya simu hazipo safe. wanachukua pia
2026-10-24 04:19:24
5
TELENGO :
Zamani ilikuwa ikitwa bongo live sms
2026-10-21 04:09:31
1
Rubyfishpoint :
Mimi binti yangu hamtumii mtu pesa Nila kusikia sauti yangu ukipokea msg usitume had unipigie
2026-10-22 16:13:28
0
rayh :
Watu wa Mtandao ni Wanafiki sana wanavojifanya Kushangaa huo Wizi. Wao ndiyo wanaofanya huo Wizi wakishirikiana na Meneja wao.
2026-10-20 19:37:59
7
michellesaronga :
elimu ya IT inazidi kufanya maisha kuwa magumu
2026-10-21 03:35:46
1
buda..vavo :
😳😳😳
2026-10-21 19:21:53
0
sam ma beats producer :
ilikua whatsap au?
2026-10-21 04:55:34
1
asha.said,bakari :
2026-10-21 13:01:30
0
Yacn Mapicha :
hilo jambo ni simple, zile code za Mpesa, tigopesa, mixx by yass , na nyingine zinazosajiliwa na msjina special, hapo wanachofanya badala ya kusajili jina wao wanasajili NAMBA hivyo ukituma msg itatokea ile namba badala ya jina.
2026-10-24 10:33:34
1
Fetyrisay Chimami :
Acante sana
2026-10-21 07:09:06
1
Grace Hasote865 :
hakusave namba ya boss???
2026-10-20 22:38:25
0
nassvision :
miaka zaidi ya mitano iliyopita huu utapeli ulikuepo tuka eliminate watuwetu kwamba hatuta fanya mawasiliano yanayo husu pesa au mawasiliano muhimu sana kwa sms huu utapeli.sio mpya nimpya kwa ambae hakupataga kutapeliwa au kusikia.
2026-10-21 05:09:15
4
Hawa Ngondo :
asante kaka
2026-10-20 19:49:31
1
ESTHER KATUNZI :
asante kwakutu kumbusha tuwe makini lkn tusisahau wasomi wengi mitaani ajira hakuna ukiingia kwenye kilimo unatumia ghalama kubwa masoko hakuna
2026-10-21 11:50:29
2
Mr beast ⛎ :
watu wa IT awo
2026-10-21 07:24:54
2
To see more videos from user @raisimsanuaji, please go to the Tikwm
homepage.