@mamajumashop4: #Mafinga #iringa #tiktok🇹🇿 #goviral #fyp ...piga simu tufanye biashara

Mam Juma  poultry farm mafinga
Mam Juma poultry farm mafinga
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 07:35:54 GMT
5661
203
84
23

Music

Download

Comments

jaji7756
Jaji :
mbona uweki bei?
2026-10-26 09:00:13
1
mudy_1990
mudy msomali tz _47 🇦🇪 🇹🇿 :
hao ni chotara au
2026-10-25 05:20:10
1
michael.mjasiliama
michael mjasiliamali :
kuku wazur sana hawa jamn nimefuga kwanza wanahimili magonjwa
2026-10-26 18:09:12
1
.keyaa.80
@ Keyaa 80 :
Box bei gani niko dar.
2026-10-25 19:42:51
1
user2770947778099
user2770947778099 :
hakika hyo mbegu ni balaa
2026-10-26 06:07:48
1
ashuraudeke
Shuucakes & bites :
hio company iko wapi nahitaji vifaranga
2026-10-26 09:38:17
1
sanjoyandogi
sanjo :
hawa kuku ni aina gan?
2026-10-23 11:07:28
2
yohanamwakibinga3
yohana mwakibinga :
mnapatikana wp
2026-10-25 19:16:40
1
rehema.ndezi
mboje amosi :
nipo Mbeya box sh ngap
2026-10-23 19:48:48
1
abdu.king01
Abdu king 👑 :
ni mbegu gani
2026-10-22 20:06:54
1
juline.emanuel
Juline Emanuel :
vifaranga vinapatikana
2026-10-23 20:04:20
1
ellijah089
NAPENDAKUKU :
mama juma naomba Siri ya kutoa kuku Bomba namna hii🤣
2026-10-21 08:28:06
2
salkhvwajsi
sallymuu :
Jaman kwa dar wanapatkana wapi hawa
2026-10-21 13:03:34
1
ainesmgimbwa
Ainesmgimbwa :
inauzwaje
2026-10-22 16:49:34
1
rosekomba4
Nakomba :
woooo wazuri wanaumri gani hawa
2026-10-21 17:03:26
1
philipo.ndunguru
Philipo Ndunguru :
Wanataga piah kama saso?
2026-10-21 09:28:33
1
ramadhanir71
RAMADHANI R :
HAKUNA KUPOA
2026-10-21 07:42:16
1
.keyaa.80
@ Keyaa 80 :
Hakuna mayai tutotoleshee? Kamani nawatafuta sana hawa kuku
2026-10-25 19:40:38
1
clotilda033
sylee essy :
Vifaranga nawapataje my
2026-10-21 12:07:19
1
juline.emanuel
Juline Emanuel :
nahitaji vifaranga
2026-10-23 20:06:38
1
nzinjeenterprises
Nzinje Enterprises :
hapa walipo kwenye video hii Wana umri gani?
2026-10-25 14:57:10
1
abdu.king01
Abdu king 👑 :
vifaranga box bei gani
2026-10-22 20:07:08
1
ezranho
EZRA SEMINDU :
naweza pata jogoo wa mbegu
2026-10-22 11:44:24
1
user4975178235047
Doris :
nahitaji vifaranga niko moshi mjini
2026-10-23 12:24:15
1
jonya0629631356
josephnyangunda :
nipo Mafinga asee ni bei gani na nawezaje pata
2026-10-23 09:59:29
1
To see more videos from user @mamajumashop4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About