@kambione_mediatz: China Joto likizidi sana Zinawekwa AC mitaani Ili wananchi Wapate Hali ya hewa ya kawaida #kambioneupdates #kambionemedia

kambione_mediatz
kambione_mediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 October 2026 14:02:51 GMT
390221
21201
921
1698

Music

Download

Comments

pilimo_star3
STAR ⭐ :
Hii ndo nchi ambayo nilitakiwa nizaliwe basi TU 😏😏
2026-10-22 14:38:46
1193
piscesqueen71
Pisces queen ♓️❤️💯🙏🌟🤗 :
kenya we have long way to go 😁
2026-10-24 17:46:48
0
useriuvkle5abo
Really Boy :
me ni mkenya [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 16:45:17
0
bad.face754
bad face :
mbna hat tanzania zip san 2
2026-10-24 14:35:23
0
sarahasali144
Sarah🧕🤗 :
ingetokea tz tungesha nje [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-23 15:36:31
0
shabaniduduma
ShabyDuduma :
This is another level nation.Very advance country worldwide
2026-10-24 16:21:22
0
official_scola01
scola_sindila :
mpaka tufike uku labda 3040 na rais awe YESU
2026-10-22 11:48:00
524
kenedyngajilo448
ᴍsᴇʟᴀ sᴀғɪ 💭💭🗯 :
𝐦𝐰𝐚𝐦𝐛𝐢𝐞𝐧𝐢 𝐛𝐢𝐦𝐬𝐮𝐦𝐢 𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐬 𝐚𝐭𝐮𝐰𝐞𝐤𝐞𝐞 📌👌
2026-10-21 14:52:15
338
pinklee26
pink lee :
ila bongo tunajipepea na mifuniko ya ndoo
2026-10-22 18:12:43
141
raiyuu03
Raiyuu :
Jmn kwan den si twilion akakope tena lifike atabwilon atuwekee tutalipa kidogo kidog😂😂
2026-10-22 08:43:55
192
user17095242380
Duzzo ki :
za bongo zikowap😅😅😅
2026-10-23 17:54:31
1
msperfect102
Ms perfect💝🦋 :
kunamtu kasema mpaka tufike huku labda raisi awe yesu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-23 12:25:59
54
usermaryamsal
🌬miss merry💙🦋 :
bi msumi akakope tena atuwekee na sisi jmn🥺
2026-10-22 06:03:54
51
_nathan255
@nathan+255✌️✌️🇹🇿🇹🇿 :
bongo tuna miti
2026-10-21 15:14:01
43
user296374683815
anny de cute🌺 :
mungu tuonekanie kun uk jua linapond uk linanyonga
2026-10-22 09:55:58
26
ahmet230k
..🌲JYB...✈️ :
Mbona ata zanzb tunazo😁
2026-10-22 11:57:44
7
judithmngulu352
Judith Mngulu :
2po njiani na sis😁
2026-10-21 15:05:42
15
user4194416082661
Irene :
bongo tunapunguzaga machinga barabarani
2026-10-21 16:08:14
20
mrgambamache
Mzuni Bupina :
Tanzania joto ikiwa Kali tunaambiwa Kuna elnino
2026-10-22 13:26:02
6
muddyrashid11
muddy rashid11 :
yani apo ni Sawa Sawa na tanzania waweke maeneo kama masaki na sehemu za vigogo lakini sio kwa walala hoi mimi ninachoona apo kuna mambo aya ✌️sio eneo zima la china itakuwa maeneo ya vigogo wa nchi tu ndio iwekwe hivyo ila sio China yote
2026-10-21 19:08:26
5
kajar2cute
🎀DA JANETH🧚‍♀️🛍💸 :
tumwambie mama yetu atuekee na sisi🥺
2026-10-22 17:23:29
6
aminieli.kimati
Aminieli Kimati :
Tanzania tuna deni la Taifa,
2026-10-21 20:00:51
6
user3519733729296
cassie💕 :
Jmn leo nimescroll Calendar.. haina mwishoo🥺💔
2026-10-23 19:00:54
19
williamnjunwa
@Liam 👑 :
Bora wao Hila bongo jua letu Lina mambo haya ✌🏿
2026-10-22 15:22:55
5
dr_andrew_paschal
Mr. Andrew Pascal :
Hii mbona hata Tz ipo, ila hapa Tanzania haipo.
2026-10-22 12:50:31
6
To see more videos from user @kambione_mediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About