Mombasa got many problems affecting its citizens directly but they never address it but here we are addressing non issues na wako kwa hiyo group wenyewe
2026-10-23 13:35:01
19
ANNIE G👸 :
wamama wenzangu mchunge watoto wakitoka mjue wanaenda wap ,nikubaya hakuna kuaminiana tena unyama umeingia wanadamu
2026-10-23 10:21:23
31
Jojo 🌹 :
mkimaliza Mombasa muende lamu
2026-10-23 10:15:02
24
#D🐎LADY :
waueniii
2026-10-23 08:39:09
41
Ali Manzu :
The solution is within the community.
2026-10-23 10:50:04
14
user1234 :
Assalam alykum Sheikh maneno yko ya kweli na yanaumiza moyo sana, mm hapa pia Nina swali mbona mtu akiibiwa Tu simu wallet handbag mtaa mzima mwizi! mwizi! wtu wakasaidiana kumkimbilia na akishikwa moja kwa moja akapigiwa wengine hata kuchomwa . Hakuna story ndefu. Ndio saa hii mitaa mingi wtu wanaishi kwa Amani. Tukija kwa suala kma hili ambalo NI kitendo cha dhulma kwa wtt wetu huwa twawabembeleza hawa wtu? Tukawapa chance za kukimbia! wakipelekwa kotini wakahonga wakatolewa na tukaishi nao kwa heshima na Amani?? Wtt wetu wanaharibiwa Kesho tuna mababa gani? kwa nini wasifanywe kma wazi mitaani ikawa funzo kwa wengine??
2026-10-23 11:22:26
8
black_excelence :
Usagaji ni nini?
2026-10-23 10:11:07
14
Medicinal_eye👁️ :
mabasha ni Nini?
2026-10-23 09:49:34
5
Notorias :
Kataaa Kabisa
2026-10-23 08:51:33
9
Kulthum💕 :
2026-10-23 08:54:22
6
fatush🌹❤️ :
kataa kabisa
2026-10-23 09:24:45
5
Arya_Aurora :
Na wako hapo 😂🤣 sijui niwataje kwa majina 😂🤣
2026-10-24 16:55:08
0
To see more videos from user @presenter_athman, please go to the Tikwm
homepage.