@manyandaafricanpowerr: Kama utakua na Alama ya MXN kwenye viganja vyenu msichokozwe mna ufalme wenu

manyanda african power
manyanda african power
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 12:22:55 GMT
301760
25204
1781
1561

Music

Download

Comments

charlesgeorge106
Tajiri kijana🙏🙏🤝 :
half hatupendi kuwa na marafiki😂😂😂
2026-10-23 14:00:35
389
penninahmutumila
Penninah Mutumila :
Alafu hatuna bahati kwa mapenzi .
2026-10-24 15:11:26
160
userchama45
Nuwaila product :
kua peke yangu napenda kuliko kujichanganya🤣🤣
2026-10-23 14:49:29
118
hotensia.girl
Hotensia girl💞 :
kwel bro hata mim niko hvy
2026-10-25 17:33:41
0
iren2349
Iren :
sipendi wageni sipendi marafiki sipendi kelele naugonjwa wangu mkubwa mafua
2026-10-24 05:22:50
133
mbuchewehu0
M-R-M- M-B-U-C-H-E-001🥰🥳🧡 :
mm niko na ex na en😳😳
2026-10-25 15:13:18
0
mwithagamzoo1
@ muthoni mwithaga :
pia blood group A
2026-10-25 10:58:30
0
mwariwajoshofficial8
lastborn official :
umesahau kuwaambia we command things and they happen
2026-10-24 15:27:09
11
grace.mumo20
Grace Mumo :
🥰🥰very true
2026-10-24 21:27:57
0
shavola.dancan
shavola Dancan :
good 👍👍 thanks it's true waauuuuu really my Boss
2026-10-25 17:21:45
0
ezekielzachali
KAWINDI TZ :
mbona mm nina M na dam yangu ni glp (AB) imekahaje ihi
2026-10-23 18:26:35
22
user23677638871058
Erney machinda :
kwer kaka lakin atushiki ela 🤣🤣🤣
2026-10-23 12:56:05
84
mary.barnabas.hau
Mary Barnabas Haule :
Kwanini hatukai na Hela kaka Nipe Jibu mana
2026-10-24 08:56:47
37
pwetty373
pwetty373 :
Mbona napenda kuwa peke angu kama jiniii mimi
2026-10-24 07:01:58
23
giannahhub
Giannah Products🦋❤️ :
Kabisa an af hatupend kuwa na marafiki,tunapenda utuliv maisha ya aman kupata hela sio dhida zetu sema hela haitulii inapitiliza kwenye majukum,tuna huruma sana na tunaumizwa sana na marafik au watu tuliowasaidia🙌🙌🙌🙌
2026-10-24 11:35:57
10
ashleybintsuleyman
ashleybintsuleyma :
mm nikiwa na mtu lazima awe na pesa ila nikiachana nae tu anakuwa na maisha magumu hatari
2026-10-23 15:02:55
26
caltasbrayan
Baby Saad :
mimi jamani alama M,group 0 haha nyota Aries ♈ 🤣🤣🤣
2026-10-23 17:41:56
22
moureenmichaely
Moureen Michaely :
acha yaan kama umenisema Mimi mwaka huu nimeitwa mchawi na mtu Mzee na ambaye nimemfanyia wema yaan acha Kila akiniona Hana ham najivunia san me hapo kwenye kupata shida siwezi PATA Kwa wakati💯
2026-10-23 19:34:08
4
maachachonjo5
@maachachonjo :
nimejikuta nimecheka kama umeniona
2026-10-24 12:49:55
6
annieodhis
Ann :
I'm a karma 😭😭 hakuna mtu amewahi kunikosea maisha yake ikawa same again
2026-10-24 18:08:33
5
mrswamrmine1
mr's wa mr mine💍🔐🥰 :
nipo na hz Alama bt group lang B+ na wa2 tunachukiwa bila 7bu
2026-10-24 09:20:34
12
gemm540
G😘💕🚵🚵🚵 :
alafuuu atupatag true loveee😃😃😃
2026-10-23 21:54:46
6
msafi066
✅Beezy Baejo🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Daah kweli kaka tunafanyaga wema sana lakini tunalipwa mabaya sema tu Mungu anatulinda Mi kuna manzi nilikuwa namsaidia kila kitu kwenye kazi upendo mkubwa sana namfanyia wema akiwa hana msosi nampa lakini bado mtu anakufanyia hila ufukuzwe kazi afu guess what Mungu anatuinua zaidi
2026-10-23 18:03:26
10
userofficaldebora225
it's dee :
nashindwa kuelewa kwann dalili zote umenipatia🤔
2026-10-23 14:27:56
9
bint.haidary
Bint Haidary :
Umeongea ni mim vote ninavyo
2026-10-23 12:38:18
7
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About