@jechaonlinetv: 📍Chamanzi shule njia panda ya machimbo ☎️0744940784 Full video subscribe channel yetu ya YouTube link in bio yetu apo 👇👇

JECHA ONLINE TV
JECHA ONLINE TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 19:21:28 GMT
21606
1464
125
190

Music

Download

Comments

bowserfalco
bowserfalco :
kak kuowa jini ni haram
2026-10-24 03:54:21
3
pilpili.hoho
Pilpili Hoho :
bashiri sijawahi kusikiza lakn leo ninekusikiza umeongea kitu kikubwa
2026-10-24 05:20:53
6
_ch2mpi0n
Anonymous :
Ukisema "Laa ilaha illallah" mara moja unatumia sekunde 3, sasa ukisema mara 70,000 inakuwa sawa sawa na kutumia sekunde 210,000 ambazo ni sawa na dakika 3,500 ambazo ni sawa na saa 58.3 ambazo ni siku 2 na saa 10. sasa naomba nielekeze taratibu aliwezaje kutamka "laa ilaha illallah" mara 70,000 baina ya maghrib na isha.
2026-10-24 01:23:33
6
omaryhawamibrahim
Omary Hawam :
Twariqa Al Qadiria ❤️🙏
2026-10-24 06:19:44
2
allyferuzi193
💦علي💦 :
mashaallaah bila shaka akhy
2026-10-24 20:48:10
2
adam_kumbagu
MR. ARK_84✊️ :
maneno ya khalifa Musa haya
2026-10-24 14:05:09
2
tawasuly_hamza
tawasuly_hamza :
dah unavitu adimu xanaa
2026-10-25 13:50:41
1
abdullahsharif726a
abdullahsharif726 :
shukra sheikh
2026-10-24 07:52:22
1
mohamed.abdu475
Mohamed Abdu :
marhaba shelela y abdikadir👌
2026-10-24 12:43:29
2
njitipori
Njiti Pori :
kwanini muridi unamahusiano na majini?
2026-10-24 05:19:56
1
user7786119881983
ال عزبى :
Kuowa jini sio haramu
2026-10-24 09:46:41
1
user178730576162
user178730576162 :
Ameen🙏
2026-10-24 04:40:19
1
zungu.mpangala
Zungu Mpangala :
wewe usije ukangopa
2026-10-24 11:15:10
1
user3308667709812
mirambo :
amin
2026-10-24 06:49:16
1
haroun.kamba.za.k
HAROUN KAMBA ZA KUANIKIA NGUO :
shukran sheikh kwa historia fupi hyo
2026-10-24 07:13:03
1
kambagwa.dua.cent
QULLATAIN DUA CENTER$ :
MAASHALLAH
2026-10-24 03:46:59
1
njitipori
Njiti Pori :
Na je kua karibu na majini ni njia ya nzuri ya kwenda peponi?
2026-10-24 05:20:33
1
njitipori
Njiti Pori :
Mimi sijui
2026-10-24 05:19:25
1
mohammedhamad8946
mohammedhamad8946 :
asa alikuwa anawaona onaje yaani
2026-10-24 09:59:57
1
abeid_97
😘🥰Abeid Abeid☝️🤫 :
daaah [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-24 04:38:59
1
4456kupendwa
KUPENDWA RAHA :
eti shekhe wa wanadamu wote wakati wa fira'auni alikuepo
2026-10-24 02:20:57
1
da_prince_azlaan
azlaan :
hata mkapewa aya mtakataa ila kwa faida watakaoangalia hii video "Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua." sura anaam aya 128
2026-10-24 04:52:17
3
pocasterano.9
Pocasterano👊😎 :
shukran kwa darsa I atufungunza sisi kama mulid
2026-10-24 12:30:53
1
ayfar39
ayfar :
hawa ndio wanatwariq Allah adumishe umoja wet
2026-10-24 07:44:52
1
To see more videos from user @jechaonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About