mnatuchanganya aiseee,,,mara ety tunaangalia herufi ya mwanzo ,,,tuchukue lipi???
2026-10-25 20:01:07
2
Kudrat Mchowera🦋 :
Kwahio mm kwa tarehe ni kaa
2026-10-26 13:16:00
1
Dorin mnywiga :
Sasa Mimi nyota yangu ipi maan imebaki 8;1\6😳😳
2026-10-26 06:41:35
1
John Ocean :
Acha uongo nyota haiusiani na Jina wala rangi kwa maana m2 huzaliwa na nyota ila Jina hupewa2 na wazazi haimaanishi ukipewa Jina ndo utakuwa umepewa namba hapo
2026-10-26 15:25:22
0
VERONICA John :
sijaelewa
2026-10-26 12:02:03
0
penina :
uongo tu
2026-10-24 14:20:54
1
Alfani tchomba alfani :
ok
2026-10-26 19:48:01
0
Evaristi 💫Ngala💫💯 :
mm nimepata 14
2026-10-26 08:51:42
1
nkeshiman a Kareem, binho :
nimekuelew
2026-10-25 16:10:34
1
Juma maseya :
nakama haibaki
2026-10-26 18:14:57
0
Happy Girbert :
nakueleewaaa
2026-10-26 14:15:28
0
Dr filikunjombe :
je vip kama hesabu haitakua na baki?
2026-10-26 16:02:46
0
🌹Re♥️♥️ :
hii ni nyota gan sas 7.5
2026-10-26 17:51:15
0
Ibra khan :
mnisaidie kweny coment ukijumlish hizo namb zote ndio 84 au mie ndio cjui hesabu