Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@blay621: #memesTz
𝗯𝗹𝗮𝘆 𝗧𝘇⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 15:36:57 GMT
384585
32861
1876
3091
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.17MB
)
Watermark .mp4 (
0.17MB
)
Music .mp3
Comments
Tindo soul🎤 :
sio kwa hii elnino mliambiwa lakini[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-25 11:54:49
0
Queenh🌸fashion🌺 :
hiyo jana hiyooo[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-25 14:00:01
0
Jeff Tz 🥰 :
Dar jua haliwalk linanyesha 😂😂😂😂😂😂
2026-10-24 16:08:24
997
adinani :
yan jua lilivokuwa kali. ukion mtu kwa mbali utafikiri anakucheka
2026-10-24 17:53:55
855
@@@ :
Dar kuna mda adi feni inapuliza joto 😂😂😂
2026-10-24 16:50:33
601
THE GALAXY :
Dodoma nahisi ndiyo ipo karibu zaidi na jua kuliko dunia[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 19:42:10
193
the confident woman :
kwa hili joto ukijaribu kuongeza kazi ya usiku mnalipuka 😁
2026-10-24 17:36:38
162
@miss_lucky :
Na malaika wa vumbi ukanda wa mbeya kazi yako tunaiona muheshimiwa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 17:31:50
232
💥💥 SMILE KILLER💫 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] kwa heshima
2026-10-24 19:55:28
1
Nestory Tunze :
huku Zanzibar ni nyuzi moto maana sio poa
2026-10-24 16:48:11
186
Brain boss :
jua la moto aseee hili ndo Jiji la lawama[Laugh approved][Laugh approved][Laughing][Laughing]
2026-10-24 19:52:44
1
living_general354 :
inatosha baba wabariki na Singida, Manyara bila kusahau Dodoma
2026-10-24 17:53:01
196
Alinah :
hii sasa ndo elnino tulio ambiwa inakuja October [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 10:29:20
1
Addyibr3🔫 :
Dodoma hali ni mbaya usiku hatulali ukifungua dirisha unakalibisha mbu ukifunga unaanza kuiva😳
2026-10-24 17:45:34
126
seriousman :
ii sasa ndo elnino[Big LOL]
2026-10-25 12:44:05
1
Emmanuel Bryson Tz :
Kuna Hili Jua la zanzibar Mtu mpka anatoa mvuke kichwani😂😂
2026-10-25 05:28:19
57
OUSMAN 551 عثمان٥٥١ :
mimi natembeza aisikirim mtaan toka juzi mpka leo nimekula deli zima jua linagonga mpka unasikia kichwa kinafanya njiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😂
2026-10-24 20:46:34
48
DORICE SISTUS :
Aisee acha tuu hii el nino ya jua mbn ni hatari jmn 🤣🤣
2026-10-24 16:12:09
67
MPEMBA HALISII 43 Kwa heshma :
WAISILAM WENZANGU TUSIACHE SWAL SWALA NI MUHIM
2026-10-25 11:09:15
11
it's fetty💝💝 :
hadi tukipaka skin care zinadunda mamaee😅😅
2026-10-24 17:36:12
113
🥰🥰alvn :
sio dar tu zanzibar jua la samoja asubuh unajifunika mwamvuli😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-24 17:57:59
104
William scorpion 🦂 :
nomaa huku kwetu adi mabati yanayeyuka😂😂🔥
2026-10-24 16:58:25
46
Aviora 💞kiboko yao🌷 :
sikumbuki mara ya mwisho chupi nimevaa lini
2026-10-24 17:54:38
36
omar juma :
Kwan wangetuambia tujiandae na kununua mafeni wangepungukiwa nn
2026-10-24 20:37:23
11
baby girl 💞 :
yaani jua linatukuunguza utazani tunafanya mazoezi ya jehanam wallah 🤣🤣
2026-10-24 18:44:57
15
To see more videos from user @blay621, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#SinMáscaras | MARU CAMPOS ROMPE EL SILENCIO SOBRE EL EXFISCAL DE CHIHUAHUA.
@vaselinelipvietnam #VaselineJellyLips #VaselineLipcare #VaselineVN #upto72hmoisturization #JellyLips
#GN #fyp #4K #fyp #viralvideo
🕋 Allah ka banda 🕌 Madine ka deewana 📿 Deen is my life #100k
#paulomoraiscy #podcast
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy