Mnatuchanganyaaa mfungo ni kesho jumatatu saa 12 asubhn mpk usikuu wa jumanne sindioo??
2026-10-25 10:49:55
6
Luu_beautysalon :
mfungo unaanza leo saa 6 usiku hadi kesho saa sita usiku,, unaruhusiwa mama na unaweza ukapokea Mungu akakujibu bila shaka kabisa, huwezi jua kuona kwako ndo uponyaji wako karibu sana mama
2026-10-25 09:41:32
9
Adonay :
unaruhusiwa ni ww na Imani yako Na pia mfungo unaanza jumatatu saa 12 asubuhi mpk ibadaa itakayofata ambayo ni usiku wa jumatatu saa 7 na dakika 59 ambayo ndo hio siku ya dress like your miracle
2026-10-25 07:28:25
8
Dinner🌸 :
Ratiba ni hii
2026-10-25 14:14:58
4
Lucy hair care products🦋🌹 :
Siku ya Leo jumapili inaisha Saa Sita kamili usiku....Ikiianza Saa Sita na dk 1 mfungo ndio utaanza maana yake siku mpya ya jumatatu ndipo inapoanza..kwahyo jumatatu siku nzima unafunga mpaka Saa sita usiku ndio mwisho unafungulia....Ambapo ukifungulia ibada inakuwa imeanza
2026-10-25 15:41:08
1
Obina :
haina shida hpo hapo anza dear.. kesho asubuhi mpaka j4 asubuhi dear
2026-10-25 11:24:43
1
Nurse Adry🩺❤️ :
Nmetoka kuskiliza vzr ni j3 saa 12 asubuh mpka j4 saa 12 asubuh na kati kati ya siku hio inabd ufanye tendo la wema kama vile kusaidia mtu au kuwasaidia wasiojiweza kwa fedha au namna yoyote
2026-10-25 16:06:29
0
Precious Ushindi🇺🇸🇨🇦🇬🇧 :
hapana inaruhusiwa dear kubwa ni kuwa na Imani , pia Mfungo wa masaa 24 inaanza kesho jumatatu asubh mpaka usikuwa wa jumatatu ambapo ibada ndo itakuwa inafanya
pia ibada kwa Tanzania inafanyika usiku saa 1:59 YouTube na Instagram jina la kuserchia ni Nathaniel bassey main
je umeelewa my dear
2026-10-25 10:20:42
1
Zakida.majoho_sashes_catering :
We fanya kwa imani unafanikiwa.
2026-10-25 08:16:32
1
Julia baker :
kuvamia haikatazwi lkn ukivamia ukuje na Imani yaani unachokijitaji kiwe na Imani thabiti ndani yake utaona majibu
2026-10-25 12:57:17
0
Lily Accessories ✨ :
@Cianah25
2026-10-25 07:03:25
0
groliagilbert :
Iman yako mama vamia😍
2026-10-25 18:22:49
0
Nurse Adry🩺❤️ :
Na unaweza kushiriki kwa imani karbu[Fire][Fire][Fire]
2026-10-25 06:17:05
0
happii Aquarius 🥰💄 :
@happii Aquarius 🥰💄:Swala la mfungo liko hivi kwanza kwenye ibada ya Jana Pastor alisema mfungo sio lazima(Not compulsory) ila kama unaweza kufunga "Funga" Sasa mfungo ulianza Jana kwa wale wa Tatu kavu (Wanaoweza unaruhusiwa kunywa maji tu na sio chakula) lakini Kuna mfungo wa masaa kumi na mbili ambapo tupo ambao tumeanza kufunga Leo then Kuna mfungo wenyewe Sasa wa Dress and Act your miracle ambao pastor alisema utakuwa wa masaa 24(Utaanza kesho Saa kumi na mbili Asubuhi) usile chochote ukizidiwa kunywa maji tu!
Nb: Wew jiungamanishe kuanzia Leo shiriki kwenye ibada ya Leo na hizo zilizobakia haya mambo ni kuongeza kiwango chako Cha Imani tu baby gal😚
Don Land
Thank God
Congratulations
Lord Reigns 🔥
2026-10-25 11:10:35
2
Zakida.majoho_sashes_catering :
SIKU INAANZA SAA SITA NA DAKIKA MOJA USIKU. Kwa hiyo TAR 26 inaanza usiku huu wa tar 25 ikibiduka so kuanzia usiku huu saa sita na dakika moja mpaka kesho jumatatu mpaka baada ya maombo
2026-10-25 08:18:06
0
~•femmy♈️🔥 :
unaruhusiwa dear imani yako itakuponya but next time kama hauna kitu kinachokuzuia uwe unashirik ibada zote sio siku ya kudress your miracle and kuhusu mfungo tunaanz j3 saa 12 asubuh
2026-10-25 08:44:26
1
smilekamseleleko :
unarusiwa
2026-10-25 14:27:03
0
nicprecious :
hujachekewa jiunge
2026-10-25 12:41:42
0
Afri tam tam :
af nyie msioelewa ndo Mungu anawajibu haraka ili muwe mashahidi.... pandisha kiwango Cha Imani lazima ujibiwe
2026-10-26 05:21:08
0
To see more videos from user @gyzzo6, please go to the Tikwm
homepage.