@sakinaonlinetv: 🇰🇪ZIARA YA KIDA'AWA BUJUMBURA-BURUNDI🇧🇮 Sheikh Said Ahmad Bafana* ( حفظه الله) chini ya Jama'a Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin(JNIM) Kwa furaha na shukrani kwa Allah,tunapenda kuwatangazia Waislamu wote wa nchii yetu nzuri ya Maziwa na Asali Burundi kuwa Sheikh Said Bafana anatarajiwa kufanya Ziara Maalum ya Kida'awa nchini Burundi,Bujumbura Wito kwa Waislamu wote wa Bujumbura : Karibuni kwa wingi ili kunufaika na elimu, mawaidha na nasaha kutoka kwa Sheikh Said Bafana Da'awa yenye tija na inayogusa maisha yetu ya kila siku.