@halisimax: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema tayari wamebaini shule walizomalizia wanafunzi wa Kidato cha Nne waliozua mjadala mitandaoni kwa kauli zao, na wanaandaa utaratibu wa kukutana nao pamoja na wazazi wao kwa kushirikiana na walimu. Katika LIVE hiyo ya TikTok, Gwajima pia amekataa ombi la mshiriki aliyetaka kifungo cha miaka 30 kwa wanaume wanaojihusisha kimapenzi na wanafunzi kipunguzwe, akitoa hoja kuhusu tabia za mabinti wa sasa. #tanzaniantiktok🇹🇿 #Tanzania #tanzania🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania
Halisi MAX
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 15:35:45 GMT
Music
Download
Comments
tina :
amn mtot waking hyo
2026-10-26 11:12:20
0
babygirl❤️ :
hao wanajua wanachokifanya bhn
2026-10-25 16:30:03
550
simonkalama1 :
mbn xx unatufungag ss tukiwagz awaa watoto mtushike xx eeeeeh
2026-10-26 11:19:15
0
Magreth :
walimu mnawasingizia tu hapo ni wazazi wao
2026-10-25 17:50:51
168
@𝑶𝒏 𝑻𝒂𝒓𝒈𝒆𝒕 𝑻𝒛 10 :
no comment
2026-10-26 15:56:10
0
God :
ujizacteert vomfuzdyre😁😁😁😁
2026-10-26 08:08:34
0
ma kelvin :
watolewe mfano hao maana wamechaluka sana
2026-10-25 17:13:30
273
A.M ZCURE __011 🇸🇴🇸🇴🪽 :
ila waziri usha kuwa tiktoka saiv
2026-10-26 05:15:57
75
Yasimin :
swaaaaaaaah🤣🤣🤣🤣
2026-10-26 16:34:14
0
marsabit :
muhimu ni kurudisha fimbo darasani
2026-10-25 15:57:28
83
OMMY KHAN :
mama tuna jilinda lakin wenyew wan vaa vijora bila chp. alaf sas sisi vijan wako tuna kula tun shiba. sas hatun namn mama. daah.
2026-10-25 18:12:47
55
Asha Idi :
tatizo kubwa hawapigwi fimbo tunaomba zirudi mashuleni maana watoto wetu wamezidi zarau
2026-10-25 16:26:27
46
Beka Unique🖤🦅👑 :
Je kama miaka inalingana Inakuaje 🥹 19 kwa 19
2026-10-25 16:54:13
74
ramamiraji :
350000
2026-10-26 18:05:42
0
Mechanical Engineer 🔩🔧 :
Masihara masihara Kizaz cha Genz 2naangalia taarif ya Habari Tiktok xio TBC tena 😄😄
2026-10-26 05:33:08
35
sheikhhatari :
Mahakimu na Majaji hebu jaribuni kuvaa viatu vyetu
2026-10-25 16:23:16
32
use :
kweli kabis ikiwezekana iongezwe iwe ata 40 mam sio mbay
2026-10-25 17:12:02
20
kidoti mc :
imeenda iyooooo😂😂😂 kwisha habari Yao namume wangu atakua amepona💃💃💃💃📌📌📌🔥
2026-10-25 20:33:19
15
B.I.G :
hii sheria ina haja ya kufanyiwa marekebisho..
2026-10-25 19:25:08
10
tajiri. mubishi🇹🇿 :
yani mimi nita enda makamani na iyo video 🤣🤣
2026-10-25 17:09:48
13
radislaus 112 :
walipe kwanza nusu la deni la taifa ndy kifungo kipunguzwe😊😊
2026-10-25 18:33:57
14
sAiD nyangasy❤🤕😹 :
sawa tufungeni2 😂😂
2026-10-25 17:06:17
5
quen ley :
simu walipata wap niwatoto wasio kuwa na maadili magumu
2026-10-25 20:12:51
22
witiness :
nimefulahi kusikia hivo mana wametuzalilisha uku waume zetu wanahaha tu
2026-10-26 03:46:24
7
ibkhan soga :
si washaomba radhi jmn
2026-10-26 08:34:52
5
To see more videos from user @halisimax, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.