mmmh me nitauza vyote na ninunue vingine maana[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-27 09:45:16
0
Sophy :
ifike mahala zawadi iwe pesa tu baaas
2026-10-26 12:46:00
117
charito23 :
saiv wakileta moja kwa moja nauza yaani nauzaaaaa kila kitu..
mnikumbushe kama nitasahau
2026-10-26 13:58:45
51
Haika 🥰😍 :
ndy maana mm vtu nilivyopewa zawad niliuza nikanunua vingne
2026-10-26 13:54:55
17
Elizabeth Mosha :
pia mim niliwai kukuta ila nimpangaji mwenzengu aliweka
2026-10-26 12:11:42
11
sarai25 :
Ndoo maan mm mama ang alisema harus yako zawad ni pesa tu😂😂😂
2026-10-26 18:32:41
4
hubbtyrehmaoffica :
Mimi kuna muda moyo wangu unaniambia godoro langu sio salama ,,,ila napingana na hyo sauti
2026-10-26 13:38:26
9
Margarita boss lady :
Sahivi kwenye familia yetu hatutakagi mazawadi tena tunapokea pesa tu period
2026-10-26 16:47:28
2
Mamawadudu :
mi nimempokea Yesu nipeni tu hizo zawadi. namjua aliyeniokoa.
2026-10-26 15:07:16
3
zenachilembaog :
nambiwaga mm usipende kupokea vitu
2026-10-26 12:47:12
2
A woman of Grace and favor ❤❤ :
isaya nagap
2026-10-26 12:34:01
1
nusi :
Kuna mtu alichukua picha zng na mume wng karibu zote😁 kiukweli nasemaje mchawi Ni Mungu tu
2026-10-26 12:59:33
1
Khadija Adilkhabir :
mungu akubariki
2026-10-27 04:29:29
1
Melisa 💋👄 :
Ndo mna Bby wangu ananambiaga nispokee zawad
2026-10-26 12:17:53
0
melosa :
Mama yangu iliwahi kumkuta miaka mingi iliyo pita apewa zawadi ya pochi na ndugu wa mumewake ndani yake kulikuwa na shilingi tano kumbe yule bibi hakuwa mtu mzuri na ndoa yenyewe ilivunjika
2026-10-26 14:18:15
0
mumy shuu😍 :
yooooh nimeogopaa aisee
2026-10-26 20:30:24
1
@Fajazee86 :
mpaka hapa naona zawadi ni Biblia tu
2026-10-26 13:53:52
1
Child of God :
Isaya 44:5
2026-10-26 14:57:13
1
olly :
Walijuaje
2026-10-26 15:54:21
1
🦋 Sparkles 🦋 :
K
2026-10-26 12:16:57
1
Magreth :
ww umejuwaje kama hivyi vitu vipo
2026-10-26 11:35:15
1
Gudgalley :
Aiseeee😭😭😭
2026-10-26 22:01:58
0
I❤️🫂God 🥰 I ❤️@ceama2020 :
mm nae sihitaji hata michango ya watu ni kheri nibariki ndoa yangu
cwez kupokea zawadi ya aina yoyote kwenye ndoa yangu
2026-10-27 03:35:53
0
m lovenes 🍎🥀💞 :
we umejuaje
2026-10-27 01:30:04
0
Prince Phone's🤳_Official :
bahati nzuri mimi kwenye sherehe yangu sikuletewa vitu kama hivi nilileteea gesi na viti vya plastiki na vikombe vya chai 😂😂😂😂😂😂
2026-10-27 09:39:23
0
To see more videos from user @kibonge.bridal.ass, please go to the Tikwm
homepage.