@cawabemedia_: Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simarenga, akiwa ameambatana na Jeshi la Polisi, ameingilia kati na kusitisha sherehe ya ndoa ya mwanafunzi wa kidato cha nne katika Kijiji cha Igaganurwa, Kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi. Tukio hilo limetokea wakati mwanafunzi huyo akiwa amemaliza mitihani yake ya kidato cha nne na kusubiri matokeo, huku familia yake ikidaiwa kupokea mahari ya ng’ombe 16 kwa ajili ya kumuozesha. Mwanaume anayedaiwa kupewa nafasi ya kumuoa mwanafunzi huyo anadaiwa kuwa tayari ana mke mwingine. Hatua ya Mkuu wa Wilaya kuingilia kati imeibua mjadala kuhusu umuhimu wa kulinda haki za watoto wa kike, kuhakikisha wanaendelea kupata elimu na kuzuia ndoa zinazoweza kuhatarisha mustakabali wao.
cawabemedia
Region: TZ
Monday 26 October 2026 12:47:12 GMT
Music
Download
Comments
Ally Omary :
god job. god bless you and long life.
2026-10-26 19:50:57
0
Uncle. J. :
Mungu akubariki mkuu wa wilaya.
2026-10-26 14:12:18
74
Glossy Hands :
Sheria ya Ndoa inaruhusu lakini
2026-10-26 15:34:14
14
#Matty🧸✴️ :
👏👏👏 mwingineeeee
2026-10-27 05:21:12
0
ibrah :
asante
2026-10-27 05:30:10
0
+255🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
Huyu jamaa nilidhani alikua mjuaji tu kwenye uigizaji kumbe hata kwny uongozi yuko vzr sema anakosea tu kutaja mheshimiwa rais
2026-10-26 15:14:49
25
Shakira ashimu❤️ :
Asante baba,,, uyo binti asituangushe sasa
2026-10-26 14:53:45
16
mrs hussein 👨✈️ :
yani huku usukumani ni balaa mpaka huruma hadi darasa la nne jamani
2026-10-26 15:59:07
16
titny3 :
kwajina naitwa regina juma haya mambo nilifanya na wazazi wangu wakanidangany ety yakitok matokeo watanipelek shule jaman mmmmm asante Mungu kwasababu Paul lungemb ni ulafiki na baba yangu ten Asante Mungu
2026-10-27 06:58:25
1
Helen :
labda walikubaliana
2026-10-26 15:05:15
9
nicprecious :
ubarikiwe mheshimiwa
2026-10-26 14:02:19
17
it's me :
bora jamni watoto wanaolewa wadogo sanaa
2026-10-26 15:20:57
11
millydan1 :
safii 🙏waachie ujinga
2026-10-27 06:23:57
2
Justin stamphord :
hv huy mkuu wa wilaya sialikuaga mwigizaji jamn ??????
2026-10-26 16:28:49
9
Nairath Alphath🩷🩵 :
kwani yy Binti anasema je
2026-10-27 04:46:17
1
Regy :
kuhusu chakula 😂😂😂
2026-10-27 06:13:06
0
Freedom🥰 :
sasa wali utaenda wap?
2026-10-26 19:47:58
2
David jr James :
duuuh yaani wew sio kiongozi kabisa binafsi sijakuelewa kabisa
2026-10-26 19:26:41
1
its_trecy :
Alfu wa baba wakubwa na wako smart kabisa
2026-10-26 15:08:41
6
mamizcollection :
afadhali
2026-10-26 13:39:45
7
Malume96 :
si tungekula kwanza jamaaani
2026-10-27 04:39:58
0
Angel :
aaah, kumbe ilikuwa siku ya shughuli😂
2026-10-26 15:09:08
4
Phina chrss :
2026-10-26 17:25:24
1
official_jamila :
kwa kweli muheshimwa big up na kupenda sana mungu akulinde🥰🥰🥰🥰
2026-10-26 17:23:57
2
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.