hahahhaha Bwana Yesu asifiweeee
upande wa pili takbiriiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-10-27 03:46:27
1
chilo🥰 :
😂😂😂nimecheka ila msinitupie jini jmn🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-26 18:18:05
2
Chacha 33 :
😂😂😂🤣🤣Pameanza kachangamka ila jamaa kasema ukweli kabisa ubalikiwe sana brother
2026-10-26 22:39:22
2
IDRISA EUJC :
UYU JAMAA NI MSEMA KWELI
2026-10-26 17:27:36
4
Mhina@ :
Yaani huyu sheikh jamani
2026-10-26 21:46:35
1
tawheed :
kumbe huyu Sheikh Naye Ni mkristo
2026-10-26 19:05:08
2
Issa Abdallah :
tofauti ya majini na mapepo ni ipi?
2026-10-26 19:21:14
0
daudi :
BABA UMENICHEKESHA SANA, YAANI UMEFAFANUA VIZURI. MUNGU AKUBARIKI SANA
2026-10-26 19:31:21
1
anu :
yaani huyu anaejibu anawezekana ni muislam ila hajui anachojibu. nitafute inbox yangu nitakueleza sababu. waacheni kila mtu na dini yake msiabudu wanacho abudu nao wasiabudu tunacho abudu. naamini sheik umenielewa
2026-10-26 17:03:30
0
yamal :
waganga wa kikristo wapo na kila taifa na utamaduni wao,mapepo ya kikristo wapo yesu nae alikua na pepo wake
2026-10-26 19:43:22
0
Gondoland :
kwani mungu aliumba mbingu na nchi na viumbe vyote ni mungu wa dini gani!!
2026-10-26 20:52:25
0
jaklyn :
takibiriiiiiii
2026-10-26 18:19:39
2
suin :
😂🤣😅😂na Nina mpenz Muslim sa itakuaje na anavonipenda sasa
2026-10-26 18:40:26
0
nestory mm :
kwa ajili ya mateso makali ya Bwana wetu YESU KRISTU.
2026-10-26 18:53:29
1
Mama huu bakari :
wale wanao chsgawa kanisani ni nani
2026-10-26 16:41:54
1
Teddy gusse :
😂😂😂😂 Bora hata umesema ukweli
2026-10-26 17:23:42
2
ZANZIBAR ONE KUCHI QUALITY :
Eh, kumbe n huyu ni shekhe?😳
2026-10-26 18:32:59
1
Adonis Legacy :
Yesu ni njia ya kweli na uzima
2026-10-26 23:06:29
0
Sam Philipo :
mamaaaaaaaaa
2026-10-27 03:34:01
0
zaza :
2026-10-26 23:35:15
0
Emanuel Razaro :
2026-10-27 02:19:42
0
To see more videos from user @prophet_isaiah_mkailwa, please go to the Tikwm
homepage.